Mini Kabibi Habibi

Current Path : C:/Program Files (x86)/Epson Software/Epson Printer Connection Checker/Language/HTML/SW/
Upload File :
Current File : C:/Program Files (x86)/Epson Software/Epson Printer Connection Checker/Language/HTML/SW/WiFi.htm

��Tatizo la muunganisho pasiwaya wa LAN (Wi-Fi)

Iwapo kuweka eneo la ufikiaji la (ruta pasiwaya ya LAN) kunahitajika, rejelea mwongozo wa eneo la ufikiaji (ruta pasiwaya ya LAN).

Je, kichapishi kimewashwa?
Iwapo kichapishi kimewekwa ili kuzima kiotomatiki, huenda kimezimwa wakati hakitumiki. Tafadhali hakikisha kuwa nishati imewashwa.

Je, kipengele cha faragha au kitenganishi kimelemazwa katika eneo la ufikiaji (ruta pasiwaya ya LAN)?
Iwapo kipengele cha kitenganishi cha faragha kimewezeshwa, hutaweza kuchapisha au kusanidi mipangilio ya muunganisho kwa sababu mawasiliano kati ya vifaa vilivyounganishwa na eneo la ufikiaji (ruta pasiwaya ya LAN) yamekatwa. Lemaza kipengele cha kitenganishi cha faragha. Jina la kitendaji linaweza kutofautiana kulingana na mtengenezaji.

Je, unatumia vizuizi vya anwani ya MAC katika eneo la ufikiaji (ruta pasiwaya ya LAN)?
Kabla ya kusanidi mipangilio ya mtandao wa kichapishi, tafadhali sajili anwani ya MAC ya kichapishi katika eneo la ufikiaji (ruta pasiwaya ya LAN).

Je, uliwasha upya eneo la ufikiaji (ruta pasiwaya ya LAN)?
Inapendekezwa kuwa uwashe upya eneo la ufikiaji (ruta pasiwaya ya LAN) unaporudia mara nyingi usanidi wa muunganisho, au iwapo umeukata ghafla, au mtandao sio thabiti, au umebadilisha mipangilio ya eneo la ufikiaji (ruta pasiwaya ya LAN).

Je, kichapishi kimeunganishwa kwenye mtandao ambao umeunganishwa kwenye kompyuta?
Unaweza kuthibitisha maelezo ya mtandao ambao kompyuta imeunganishwa ifuatavyo. Maelezo haya ya mtandao yanaweza kuthibitishwa kwenye ripoti za uchunguzi wa muunganisho za kichapishi au laha la hali ya mtandao.

Je, unatumia programu ya usalama kama vile ngome inayozuia mawasiliano?
Iwapo ulisakinisha programu mpya ya usalama, kuna uwezekano kuwa programu ilizuia mawasiliano kwa kichapishi. Sajili ili kuruhusu mawasiliano ya kichapishi.