Mini Kabibi Habibi

Current Path : C:/Program Files (x86)/Epson Software/Epson Printer Connection Checker/Language/HTML/SW/
Upload File :
Current File : C:/Program Files (x86)/Epson Software/Epson Printer Connection Checker/Language/HTML/SW/USB.htm

��Tatizo la muunganisho wa USB

Je, kichapishi kimewashwa?
Iwapo kichapishi kimewekwa ili kuzima kiotomatiki, huenda kimezimwa wakati hakitumiki. Tafadhali hakikisha kuwa nishati imewashwa.

Je, kuna tatizo lolote katika kebo na kiunganishi cha USB?
0
Iwapo kuna kituo kingine cha USB kwenye kompyuta yako, jaribu kuunganisha kwacho.

0
Iwapo una kebo nyingine ya USB, jaribu kebo nyingine.

0
Iwapo unatumia kitovu cha USB, jaribu kuunganisha kebo ya USB moja kwa moja kwenye kompyuta.

Je, kuna data iliyokusanywa ambayo haijachapishwa?
Bofya kitufe kifuatacho ili kutazama foleni ya kuchapisha. Ondoa iwapo kunayo yoyote.

Jaribu kuchapisha tena wakati uthibitisho umekamilika.